skipToContent
🌐All

Madaraka Dei 2026 katika kaunti

Madaraka Dei 2026 katika kaunti
KIHISTORIA, kando na maadhimisho ya Madaraka Dei kila mwaka kuongozwa na Rais wa nchi, sherehe hiyo pia hufanyika kwenye kaunti aidha chini ya Gavana au Kamishna wa Kaunti. Gavana akiwakilisha serikali ya kaunti na kuhutubia umma, Kamishna wa Kaunti anawakilisha serikali ya kitaifa na husoma hotuba ya kitaifa ya Rais. Kwenye maadhimisho ya mwaka 2026 ya Madaraka Dei, baadhi ya kaunti zilisherehekea sikukuu ya Kenya kupata utawala wa ndani kwa ndani. Zifuatazo ni picha kutoka Kaunti ya Homa Bay na Kisii; [caption id="attachment_188713" align="aligncenter" width="300"] Gavana wa Kisii, Simba Arati alipowasili Kenyenya, Bomachoge kuongoza wananchi kuadhimisha Madaraka Dei 2026 mnamo Juni 1. Picha|Wycliffe Nyaberi [/caption] [caption id="attachment_188714" align="aligncenter" width="300"] Gwaride na maafisa wa polisi Kisii. Picha|Wycliffe Nyaberi [/caption] [caption id="attachment_188715" align="aligncenter" width="300"] Kamishna wa Kaunti Homa Bay akipiga saluti wakati wa maadhimisho ya Madaraka Dei, Juni 1, 2026. Picha|George Odiwuor[/caption] [caption id="attachment_188716" align="aligncenter" width="300"] Wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bongu wakicheza densi ya Kihindi wakati wa maadhimisho ya siku ya Madaraka 2026, Juni 1, katika uwanja wa Rapedhi, Ndhiwa, Kaunti ya Homa Bay. Picha|George Odiwuor[/caption]
Share
Original story
Continue reading at Taifa Leo (Swahili)
taifaleo.nation.co.ke
Read full article

Summary generated from the RSS feed of Taifa Leo (Swahili). All article rights belong to the original publisher. Click through to read the full piece on taifaleo.nation.co.ke.