“SERIKALI imetangaza kupunguza viwango vya ubora wa mafuta yanayouzwa nchini, kwa kuruhusu madini hatari ya Sulphur kuongezwa kwa kipindi cha miezi sita. Katika taarifa iliyotolewa na Waziri wa Biashara na Uwekezaji Lee Kinyanjui, serikali inasema wameafikia kuongeza viwango vya Sulphur hadi 50 miligramu kwa kilo katika dizeli na petrol baada ya mashauriano na vitengo mbali mbali vya kiufundi. Waziri Kinyanjui anasema hatua hiyo inatokana na vita vinavyoendelea Mashariki ya Kati na haswa mzozo wa kufungwa kwa Mkondo wa Hormuz ambao umeathiri usambazaji wa mafuta kutoka nchi za ghuba.
Original story
Continue reading at Taifa Leo (Swahili)
taifaleo.nation.co.ke
Summary generated from the RSS feed of Taifa Leo (Swahili). All article rights belong to the original publisher. Click through to read the full piece on taifaleo.nation.co.ke.
